Jukumu la Kumtafuta Mungu kwa Mtu Binafsi

Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee.

Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
0
Tungependa maoni yako pia. Toa maonix
()
x