Usiogope wala usisite kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu. Uwe na Amani na Matumaini katika Huruma ya Mungu itokayo katika Upendo wake wa Mfano wa baba awapendavyo wanawe. Mungu anasubiri kukupokea kwenye mikono yake Ili akutunze kama mtoto wake kama utatubu na kumrudia yeye. Amua kumwendea leo! Anakungoja ni wewe tuu…

Kutubu na Kusamehewa dhambi
Date: April 15, 2022
Author: DIN - Melkisedeck Leon Shine

Comments
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts

Namna Mungu anavyojibu Sala au Maombi
Mungu ni mwenye Hekima, anajibu Sala zetu kwa kutupa kile tunachohitaji na chenye kutufaa na Sio ... Read More

Uwe na subira Baada ya kuomba
Uwe na subira Baada ya kuomba kwa Mungu. Sio kila unachoomba kwa Mungu utakipata kwa wakati huo h... Read More

Mungu ni mwenye Huruma
Mungu ni mwenye Huruma na Upendo na Anataka watu wote waokolewe naye. Mungu hayupo kwa ajili ya k... Read More

Upendo wa Mungu
Upendo wa Mungu hauna kikomo. Mama anaweza kumchoka na kumtelekeza mwanae lakini Mungu kamwe hamc... Read More

Uwepo wa Mungu wakati wa shida
Kwa kawaida kwenye maisha unapofikia Hatua unaona Mungu hayupo kabisa na wewe basi ujue huo ndio ... Read More

Njia ya sala
Kwa njia ya sala Binadamu anampa Mungu Utukufu, Mungu anampa Binadamu Wokovu na Neema.
... Read More
Tusali daima
Sala sio kitu cha muhimu kufanya wakati wa shida tuu. Sala ni kitu cha muhimu zaidi kila siku kat... Read More

Umuhimu wa kumsogelea Mungu
Vile unavyomsogelea Mungu ndivyo na yeye anavyokusogelea. Vile unavyomkubali Mungu katika Maisha ... Read More

Sala ni ufunguo
Sala ni ufunguo wa kufungulia mema na kufungia Mabaya. Tusali ili tufungue mema katika maisha yet... Read More

Furaha ya Binadamu
Kufanya Mambo mema ndipo kunaleta furaha ya kweli kwa Binadamu yeyote yule. Hakuna Binadamu anaye... Read More

Upendo na Matamanio ya Mungu kwa Wanadamu
Kama vile Baba anavyotamani mwanae akue katika maadili na aelekee katika njia nyoofu. Ndivyo na M... Read More
Henry Mollel (Guest) on June 11, 2024
Nakuombea 🙏
Anthony Kariuki (Guest) on June 4, 2024
Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi
Charles Mrope (Guest) on March 31, 2024
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
David Sokoine (Guest) on January 9, 2024
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Robert Ndunguru (Guest) on November 28, 2023
Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni
Bernard Oduor (Guest) on February 3, 2023
Dumu katika Bwana.
Sarah Achieng (Guest) on December 24, 2022
Mwamini katika mpango wake.
Raphael Okoth (Guest) on December 16, 2022
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Andrew Mahiga (Guest) on September 8, 2022
Tembea kwa imani, si kwa kuona
Joseph Kiwanga (Guest) on January 1, 2022
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Paul Ndomba (Guest) on October 6, 2021
Nguvu hutoka kwa Bwana
Rose Lowassa (Guest) on September 24, 2021
Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima
Elizabeth Malima (Guest) on July 11, 2021
Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia
Anthony Kariuki (Guest) on June 21, 2021
Baraka kwako na familia yako.
Stephen Mushi (Guest) on May 22, 2021
Bwana yuko karibu na wote wanaomwita
Linda Karimi (Guest) on January 11, 2021
Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine
Faith Kariuki (Guest) on December 1, 2020
Imani inaweza kusogeza milima
Mary Kendi (Guest) on September 7, 2020
Mwamini Bwana; anajua njia
Samuel Were (Guest) on July 21, 2020
Katika imani, yote yanawezekana
Betty Kimaro (Guest) on July 19, 2020
Mungu ni mwema, wakati wote!
Patrick Mutua (Guest) on May 30, 2020
Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha
Tabitha Okumu (Guest) on April 3, 2020
Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu
Isaac Kiptoo (Guest) on January 29, 2020
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Alex Nakitare (Guest) on January 3, 2020
Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe
Mary Sokoine (Guest) on November 6, 2019
Mungu akubariki!
Lydia Wanyama (Guest) on October 24, 2019
Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia
Dorothy Nkya (Guest) on October 8, 2019
Rehema zake hudumu milele
Joseph Mallya (Guest) on September 16, 2019
Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha
Peter Otieno (Guest) on August 16, 2019
Endelea kuwa na imani!
Agnes Lowassa (Guest) on May 11, 2019
Upendo wa Mungu haukosei kamwe.
Joseph Kawawa (Guest) on May 6, 2019
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Brian Karanja (Guest) on April 9, 2019
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
David Ochieng (Guest) on November 8, 2018
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Grace Mligo (Guest) on March 13, 2018
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Joseph Kiwanga (Guest) on February 14, 2018
Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi
Joseph Njoroge (Guest) on December 24, 2017
Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia
Mary Kendi (Guest) on May 1, 2017
Tumaini ni nanga ya roho
David Sokoine (Guest) on April 26, 2017
Neema na amani iwe nawe.
Stephen Kikwete (Guest) on April 2, 2017
Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao
Catherine Mkumbo (Guest) on March 29, 2017
Neema ya Mungu inatosha kwako
Peter Otieno (Guest) on March 24, 2017
Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake
Edith Cherotich (Guest) on February 28, 2017
Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi
Mary Njeri (Guest) on February 2, 2017
Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida
Frank Macha (Guest) on August 1, 2016
Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu
Kevin Maina (Guest) on May 17, 2016
Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako
Elizabeth Malima (Guest) on March 16, 2016
Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako
James Mduma (Guest) on February 18, 2016
Sifa kwa Bwana!
Charles Mboje (Guest) on January 14, 2016
Wakati wa Mungu ni kamilifu
Victor Kimario (Guest) on August 17, 2015
Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu
Elizabeth Mtei (Guest) on June 2, 2015
Rehema hushinda hukumu