Sidebar with Floating Button
MHUBIRI
AckyShine

Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu

Featured Image
1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako

2. Kufanya umwogope shetani na nguvu zake kuliko unavyompenda MUNGU. Wakristo wengi leo hii husali na kuomba kwa nguvu mno siyo sababu wanampenda MUNGU mno hapana ni sababu wanamwogopa shetani na majeshi yake na muda mwingine hata watumishi wa MUNGU wanamsaidia kwa kuhubiri mno na muda mwingine kuongeza jumvi juu ya nguvu za giza kuna wahubiri huambatanisha kila kitu na vifungo vya nguvu za giza na kusahau kuhubiri uzuri na wema wa MUNGU kwetu.

3.Kutufanya tusahau uwepo wake au kuupuzia. pale tunapokuwa hatupay attention existance ya shetani yeye ndio hupata wakati mzuri wa kutupiga ,sababu ni rahisi mno kutouutambua ubaya wa dhambi kama hatutaamini uwepo wa shetani ktk uovu…hii hutupelekea kutenda dhambi na kuziona siyo dhambi mfano kwa wasomi wengi hupuuzia baadhi ya mambo kama kujilinda na zinaa wakiamini ni kupitwa na wkt kama utakuwa hauna mahusiano ya kingono mpaka umefika chuo kikuu tena huchukulia wasiokuwa hivyo ni wagonjwa.hapo ni kuwa wengi wameignore uwepo wa shetani "no devil no evil" hivyo watu ndio hupotea.

4.KUTUTIA MOYO WAKATI WA KUTENDA DHAMBI NA KUTUKATISHA TAMAA YA KUSAMEHEWA. nitatoa mfano huu mtu ambaaye anataka kufanya uzinzi shetani humtia moyo kuwa MUNGU anajua kuwa sisi ni binadamu dhaifu na yeye husamehe dhambi zetu daima lakini ifikiapo wakati ukataka kutubu hafanya kila njia kukukatisha tamaa ya kusamehewa na hututia aibu hata kutsmka kwa padri kuwa nimedhini maana huanza kufikiria padre atanionaje mimi.

BASI NDUGU TUSISINZIE BALI TUWE MACHO DAIMA MSHITAKI WETU YU MACHO KUTUJARIBU.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

Chris Okello (Guest) on July 6, 2024

Mwamini Bwana kwa moyo wako wote, na usitegemee ufahamu wako mwenyewe

Wilson Ombati (Guest) on May 12, 2024

Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia

James Kimani (Guest) on April 29, 2024

Tumeokolewa kwa rehema zake, si kwa matendo yetu

Philip Nyaga (Guest) on April 5, 2024

Katika udhaifu wetu, rehema za Mungu zinatupa nguvu

Anna Kibwana (Guest) on March 10, 2024

Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe

Margaret Mahiga (Guest) on September 27, 2023

Mungu ana kusudi hata katika maumivu yako

Margaret Mahiga (Guest) on July 2, 2023

Bwana yuko karibu na wote wanaomwita

Josephine Nduta (Guest) on October 30, 2022

Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi

Michael Onyango (Guest) on August 21, 2022

Mwamini Bwana; anajua njia

Benjamin Kibicho (Guest) on April 16, 2022

Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote

Jane Muthui (Guest) on January 3, 2022

Katika giza, nuru yake inaangaza zaidi

Ruth Kibona (Guest) on April 4, 2021

Mungu akubariki!

Simon Kiprono (Guest) on October 24, 2020

Kwa Mungu, yote yanawezekana

Sharon Kibiru (Guest) on September 17, 2020

Nakuombea 🙏

Sarah Mbise (Guest) on April 9, 2020

Imani inaweza kusogeza milima

John Malisa (Guest) on February 1, 2020

Imani ni kuwa na uhakika wa kile tunachotarajia na kujua kwa hakika kile ambacho hatuoni

Charles Mrope (Guest) on December 31, 2019

Ahadi za Mungu ni za kweli daima

Jane Muthui (Guest) on November 1, 2019

Tumaini ni nanga ya roho

Chris Okello (Guest) on October 22, 2019

Wakati wa Mungu ni kamilifu

Edward Chepkoech (Guest) on October 20, 2019

Katika rehema zake, Mungu husamehe na kurejesha

Samuel Were (Guest) on September 30, 2019

Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini

Anna Mchome (Guest) on September 7, 2019

Katika imani, yote yanawezekana

Samuel Were (Guest) on August 23, 2019

Hauko peke yako; Mungu yuko nawe

Grace Mligo (Guest) on July 11, 2019

Baraka kwako na familia yako.

James Malima (Guest) on November 27, 2018

Neema ya Mungu inatosha kwako

Joseph Kitine (Guest) on November 6, 2018

Wacha imani yako iwe kubwa kuliko hofu yako

Lucy Mahiga (Guest) on September 26, 2018

Anaponya mioyo iliyovunjika na kufunga majeraha yao

Miriam Mchome (Guest) on September 7, 2018

Nguvu hutoka kwa Bwana

Edward Chepkoech (Guest) on July 23, 2018

Endelea kuamini, hata ikiwa ni vigumu kuona njia

Margaret Mahiga (Guest) on July 5, 2018

Mwamini katika mpango wake.

Joseph Njoroge (Guest) on March 6, 2018

Mungu ni mwema, wakati wote!

Charles Mboje (Guest) on February 20, 2018

Imani inakua imara zaidi wakati wa majaribu

Chris Okello (Guest) on December 25, 2017

Rehema za Mungu ni mpya kila asubuhi

Monica Lissu (Guest) on December 3, 2017

Sifa kwa Bwana!

Alex Nyamweya (Guest) on October 26, 2017

Dumu katika Bwana.

Miriam Mchome (Guest) on September 30, 2017

Katika uwepo wake, kuna ukamilifu wa furaha

Charles Mrope (Guest) on January 26, 2017

Upendo wa Mungu haukosei kamwe.

Miriam Mchome (Guest) on November 28, 2016

Kuna tumaini kwa ajili ya siku zijazo, maana Mungu anajua mipango aliyokupangia

Nancy Akumu (Guest) on September 25, 2016

Endelea kuwa na imani!

Josephine Nduta (Guest) on August 17, 2016

Bwana atapigana kwa ajili yako; wewe unahitaji tu kutulia

Francis Mtangi (Guest) on May 22, 2016

Rehema zake hudumu milele

Grace Mligo (Guest) on December 6, 2015

Rehema hushinda hukumu

Dorothy Nkya (Guest) on November 17, 2015

Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika

Vincent Mwangangi (Guest) on October 26, 2015

Tembea kwa imani, si kwa kuona

James Mduma (Guest) on September 15, 2015

Wacha nuru yako iangaze mbele ya wengine

George Wanjala (Guest) on September 14, 2015

Rehema zake ni ukumbusho wa daima wa upendo wake

John Lissu (Guest) on August 1, 2015

Kupitia Kristo, tunapokea rehema za Mungu kwa wingi

Rose Amukowa (Guest) on July 12, 2015

Hata chembe ya haradali ya imani inaweza kusogeza milima

Ruth Kibona (Guest) on May 16, 2015

Neema na amani iwe nawe.

Hellen Nduta (Guest) on April 11, 2015

Mungu ni kimbilio letu na nguvu zetu, siku zote tayari kusaidia wakati wa shida

Related Posts

Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha kuwa tunaweza kuwaombea wafu ili wapate neema na amani ya Mungu?

Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha kuwa tunaweza kuwaombea wafu ili wapate neema na amani ya Mungu?

Je, Kanisa Katoliki linahubiri na kufundisha kuwa tunaweza kuwaombea wafu ili wapate neema na ama... Read More

Je, Kanisa Katoliki linawahimiza waamini kuishi maisha matakatifu na kuwa mashuhuda wa Injili?

Je, Kanisa Katoliki linawahimiza waamini kuishi maisha matakatifu na kuwa mashuhuda wa Injili?

Je, Kanisa Katoliki linawahimiza waamini kuishi maisha matakatifu na kuwa mashuhuda wa Injili? Ji... Read More

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu dini na dini nyingine?

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu dini na dini nyingine?

Kanisa Katoliki ni mojawapo ya madhehebu makubwa zaidi ya Ukristo ulimwenguni. Imani yake ina msi... Read More

Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi

Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi

Read More
Je, Kanisa Katoliki linatambua na kufundisha umuhimu wa familia na ndoa katika maisha ya Kikristo?

Je, Kanisa Katoliki linatambua na kufundisha umuhimu wa familia na ndoa katika maisha ya Kikristo?

Je, Kanisa Katoliki linatambua na kufundisha umuhimu wa familia na ndoa katika maisha ya Kikristo... Read More

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu haki na haki za binadamu?

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu haki na haki za binadamu?

Kanisa Katoliki ni mojawapo ya madhehebu makubwa duniani na linazingatia sana haki na haki za bin... Read More

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maombi ya watakatifu?

Ni nini imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maombi ya watakatifu?

Karibu kwenye makala hii kuhusu imani ya Kanisa Katoliki kuhusu maombi ya watakatifu. Kwa Wakatol... Read More

Ishara ya Msalaba

Ishara ya Msalaba

Read More
Tarehe ya Pasaka inavyopatikana

Tarehe ya Pasaka inavyopatikana

KWANINI TAREHE ZA PASAKA HUBADILIKA KILA MWAKA ??

JIBU:
KALENDA za mwanzo ziliutumia m... Read More

Kuimarisha Imani Yako na Masomo ya Misa ya Jumapili ya Dominika

Kuimarisha Imani Yako na Masomo ya Misa ya Jumapili ya Dominika

Kuimarisha Imani Yako na Masomo ya Misa ya Jumapili ya Dominika

Imani ni nguvu yenye uwezo... Read More

MATATIZO YANAYORUDISHA UIMBAJI WA KWAYA KATOLIKI NYUMA

MATATIZO YANAYORUDISHA UIMBAJI WA KWAYA KATOLIKI NYUMA

Read More
Ibada ya Novena ya Huruma ya Mungu: Kupokea Neema na Baraka

Ibada ya Novena ya Huruma ya Mungu: Kupokea Neema na Baraka

Ibada ya Novena ya Huruma ya Mungu: Kupokea Neema na Baraka

Karibu kwa Ibada ya Novena ya ... Read More